Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda @baba_keagan kutoa saa 24 kwa Wabunge wote waliopo Dar warudi Bungeni lasivyo watakamatwa, @ZittoKabwe amemjibu.
Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini amesema “Mimi ni Mbunge wa Kigoma Mjini, nipo Dar sijakwenda Dodoma Bungeni sababu ninaamini kuwa Bunge lilipaswa kuahirishwa ili kupambana na Korona, sitakwenda Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hana Mamlaka yeyote ya kuniamulia niwe wapi katika Jamhuri ya Muungano”
“Sitakwenda Dodoma, nitakaa Dar es Salaam kwa uhuru kabisa, najilinda dhidi ya korona mimi binafsi na familia yangu ninakaa nyumbani, ninawalinda wapiga kura wangu wa Kigoma mjini pia, haya masaa 24 aliyotoa Mkuu wa Mkoa yaishe kwa Wabunge ni UPUUZI. ANIGUSE. Athubutu” - ZITTO
Z
ReplyDeleteJITTO, UNACHO KIBALI TOKA KWA NDUGAI?
JIBU UNALO NA HATUA INAYOFATA UNAIJUA.
IMANI YAKO HAS ALWAYS BEEN POTOFU KWA MPOTOSHAJI WEWE.
ReplyDeleteULIKWENDA MPAKA KWA MBUTA NANGA KUPOTOSHA WB INSITISHE MKOPO.
SASA KAMA UNASIKIO NIMESHA SEMA 2+ 4 UKO BUNGENI LA SIVYO MAMBOSASA ANASAKA WAZULULAJI KAMA STYLE YAKO.
WABUNGE WOOOOTEE ILA WEWE IMANI YAKO VINGINE...
MAKONDA ANA MAMLAKA YA MPAKA KUKWAMBIA ULALE SAA NGAPI NA UFUNGE MLANGO WAKO SAA NGAPI.
ReplyDeleteNA CHA ZAIDI UNAKIJUA? PIA MAKONDA ANAYO HIYO MAMLAKA NA NI KISHERIA KABISA AKIWA NI MWAKILISHI ULIE MTILIA FITINA KWA VIZA YA KULE KWENYE KOLONA.
MAKONDA NI MKUU WA MKOA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA... UNALIJUA HILO ZUMBLI KAMBWE JITU. LUDI JIJINI DODOMA
WITHIN THE STIPULATED ULTIMATUM.
hUYU anajifanyaga haelewagi helewagi, Kama huhui Dogo,
DeleteMakonda anauwezo wa Kitanda Unacho lalia Badala ya Kukitoaga Jumapili kupigaga ile dawa Ya Kunguni .. Anaweza Pia kukupigia Fumigesheni ya kolona.
Itaua Kunguni zako na hii nyingine Faidika kupiga Nyungu
Mpotoshaji wewe wa Taifa.
K
Jifanye KUKAIDI usiende Dodoma utaona CHA MTEMA KUNI, KITANDA CHAKO kitatolewa safari hii..! IJUMAA na si kama kawaida yako KUKITOA J'pili.
DDT imesha anza Kuadimika. Tutapiga 2 IN 1 . Kunguni na kolona hata kama kuna chawa au Utitiri wa KUKU HUMO HUMO.