Ameandika B Dozen
"Naifahamu falsafa yao: falsafa ya muasisi @majizzo na Taasisi yote. Naujua utamaduni wao; utamaduni wa kuthamini zaidi vya nyumbani hasa kuanzia kule mtaani chini kabisa. Nia yangu ya ndani inaniambia hapa ndipo ninapotaka kuwa kwa sasa.
My New Family @efmtanzania na @tvetanzania asanteni kwa kunikaribisha. Najua #MuzikiUnaongea, naelewa #Tunavyoishi. Nifundisheni nisiyojua, tukue pamoja kama familia na jeshi kubwa la mtaa.
#HatupoiHatuboi 🙏🏼"