BREAKING NEWS: Rais wa Burundi aliyemaliza muda wake, Pierre Nkurunziza afariki dunia.




Aliyekua Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia  kwa mshtuko wa Moyo 

Serikali ya Burundi imetangaza hayo leo kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter.

Ujumbe kwenye ukurasa huo umeeleza kuwa serikali ya Burundi inatangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha Rais Nkurunziza na kuongeza kuwa amefariki kutokana na tatizo la moyo. 

Nkurunziza aliyekua Rais toka 2005-2020 amefariki siku chache baada ya Burundi kupata mrithi wake wa Urais 



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad