Chadema Yawataka Polisi Kufungua Milango ya Uchunguzi....Yamuhusisha Mashimo na Tukio la Mbowe



Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Polisi wanapofanya Uchunguzi hawapaswi kufunga milango ya uchunguzi na kuliita hili ni tukio la kawaida kwasababu viashiria vinaonesha tukio hili lina muelekeo wa kisiasa

Kauli ya Mnyika inakuja baada ya Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto kusema wanafanyia uchunguzi tukio la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kushambuliwa na kuvunjwa mguu huku akipiga marufuku watu kulitumia kisiasa

Mnyika amesema kati ya watu waliokuwa wanamshambulia Mbowe wapo waliosikika wakisema “Wewe unaisumbua sana Serikali, tunakushughulikia tuone kampeni utafanyaje.” Ametoa wito kwa Polisi na vyombo vya Usalama kuchunguza tukio hilo kwa mapana ili waliohusika wachukuliwe hatua

Amesema siku chache kabla ya Mbowe kushambuliwa, katika mitandao ya Kijamii kulisambaa video ya mtu anayejiita Mchungaji wa Kitaifa, Mchungaji Mashimo akisema “Kuna tukio litatokea mbele kwa Kiongozi wa Upinzani kushambuliwa” na kati ya majina aliyoyataja, jina Freeman Mbowe lilikuwepo. Ametoa wito kwa Polisi wamkamate ili aleeze hizo kauli zake

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Joni mnyika, wewe unaakili timamu?
    au ndio homa na kuweweseka kwa kutotaka
    kwa maagizo kutoorodhesha Jina la mama
    mahiri ktk saccozi Dr.Mayrose nia yake

    Sasa usipotoshe Umma. Mpiga Mataptap
    akigida kupita kiasi haipelekei wala haina uwiano na kubatizia wasiojulikana. Au ndiyo Kamusi yenu hapo saccozini ndivyo inavyo sema??

    Ya kuambiwa changanya na uuji wako.
    unweza kutoa Kande..kamasi Ugali.

    Ulevi usio mpaka Una Madhara.

    What was the Alcohol level in his body

    ReplyDelete
  2. Joni mnyika, wewe una akili timamu?
    au ndio homa na kuweweseka kwa kutotaka kwa maagizo kuto orodhesha Jina la mama mahiri ktk saccozi Dr.Mayrose nia yake kuitangaza..?

    Sasa usipotoshe Umma. Mpiga Mataptap
    akigida kupita kiasi haipelekei wala haina uwiano na kubatizia wasiojulikana. Au ndiyo Kamusi yenu hapo saccozini ndivyo inavyo sema??

    Ya kuambiwa changanya na uuji wako.
    unweza kutoa Kande..kamasi Ugali.

    Ulevi usio mpaka Una Madhara.

    What was the Alcohol level in his body

    ReplyDelete
  3. Joni mnyika, wewe una akili timamu?
    au ndio homa na kuweweseka kwa kutotaka kwa maagizo kuto orodhesha Jina la mama mahiri ktk saccozi Dr.Mayrose nia yake kuitangaza..?

    Sasa usipotoshe Umma. Mpiga Mataptap
    akigida kupita kiasi haipelekei wala haina uwiano na kubatizia wasiojulikana. Au ndiyo Kamusi yenu hapo saccozini ndivyo inavyo sema??

    Ya kuambiwa changanya na uuji wako.
    unweza kutoa Pumba ..kama si Kande.

    Ulevi usio mpaka Una Madhara.

    What was the Alcohol level in his body

    ReplyDelete
  4. Mnyika, Utahitajika ufikekituoni kutoa taarifa yako, na si miitandaoni. Fika jijini Dodoma saa 7 mchana.

    Chumba cha mgonjwa imebiditutumie Airfrshnner kila wakati kuondoa Harrufu Isiyojulikana.

    Au ndio homa na kuweweseka kwa kutotaka kwa maagizo kuto orodhesha Jina la mama mahiri ktk saccozi Dr.Mayrose nia yake kuitangaza..?

    Sasa usipotoshe Umma. Mpiga Mataptap
    akigida kupita kiasi haipelekei wala haina uwiano na kubatizia wasiojulikana. Au ndiyo Kamusi yenu hapo saccozini ndivyo inavyo sema??

    Ya kuambiwa changanya na uuji wako.
    unweza kutoa Pumba ..kama si Kande.

    Ulevi usio mpaka Una Madhara.

    What was the Alcohol level in his body

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Hawa wote ni wasanii unda glaundi. lazima utengeneze tukio iliuikimbie CCPB. Mbongo hana mchezo.

      Hala anaiga mataptapu kwenye angaa za Katambi na Muroto KOSA!

      Kiwanja hich KOSA TENA ILE MBAYA

      M/Kiti Ammejiumbua Mwenyewe..

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad