DC Kisarawe Amefanya Kazi Nzuri Sana ya Kuondoa Zero, Wazaramo Badala ya Kumuoa Mnamwangalia tu- JPM
0
June 28, 2020
“DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo amefanya kazi nzuri sana katika kuondoa zero, palikuwa na zero nyingi hapa, ninachowashangaa Wazaramo watani zangu, hajaolewa ila mmeshindwa kumuoa mnamuangalia tu hapa, ndio shida ya Wazaramo, saa nyingine mnashindwa mambo”-JPM
Tags