Web

ESMA Aongea Kwa Uchungu na JUMA Kifo Cha Mke wa BABU TALE "Nimeumia Nilikua Sijui Kama Anaumwa



Juma Lukole "Mke wa Babu Tale ndio aliniambia nikazie kuwa mbeya kuwa utanitoa kimaisha na kweli umenitoa, pia aliniambia niwe naposti umbea wangu kwa kutumia Codes ili kuepusha Ugomvi na Watu"

Esma "Marehemu alikuwa Msomi, Muda wote mavyuo vyuoo tumepoteza msomi, alikuwa umshauri mzuri sana kwa watu , alimpenda sana babu Tale na Babu Tale Alikuwa anampenda mke wake, Walikuwa Marafiki kweli "

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad