Fatma Karume Bwana Afunguka Haya "Kuna Wabunge Hawatakiwi Majimboni ikiwemo Ndugai"



“Kuna wabunge hawatakiwi majimboni mwao kuna wengine kama Job Ndugai wananchi wa jimboni wamemzomea mbele ya Magufuli,” aliandika Fatma

Fatma aliandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Twitter “Lakini wanadhani kumtukuza Magufuli, kuwaonea wapinzani ni tiketi ya ubunge,”.

“Jamani Magufuli atakubebeni nyote uchaguzi ujayo? Mbona mnampa kazi,’ aliandika Fatma

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe Fatuma, Fatuma Umetumwa, Unayajua?
    Hivyo magumashi wewe Kilaza.

    Bado unaendelea Kuuza Mbatat za Urojo Forodhani au umejifanya Mwana Shera, Za kalimati ya Nazi.

    Ndugai Ni Baba Lao. kaensesha Bunge kidigitali. Ameweka Nidhamu kwa wabunge wasio Jiheshimu na wasio Heshma.

    Je wewe uko katika kuharibiwa akili na Hao wanao kupa kula visivyilika?

    Kiwa na Adabu Mtoto.!!

    ReplyDelete
  2. Wee Futuma. Si uliwahi kuwa wakili zamani kabla ya kukushindwa kazi..!! Nasikia umeanzisha duka LA fesheni huko Ungonini.

    Hivi we WA Wapi?? Karibu nyumbani Tandahimba uone Babu na bibi WA bibi. MAMBO ya fesheni hawayajui. Kuna kolosho tu. Tena msimu huu zimezaa mpaka utapenda. Cameliusi alikuwa anakuongelea hivi punde. Tuna kumissi na koti jeusi kama zamani.Umeisikia Ofa ya DC

    ReplyDelete
  3. Wee Futuma. Si uliwahi kuwa wakili zamani kabla ya kukushindwa kazi..!! Nasikia umeanzisha duka LA fesheni huko Ungonini.

    Hivi we WA Wapi?? Karibu nyumbani Tandahimba uone Babu na bibi WA bibi. MAMBO ya fesheni hawayajui. Kuna kolosho tu. Tena msimu huu zimezaa mpaka utapenda. Cameliusi alikuwa anakuongelea hivi punde. Tuna kumissi na koti jeusi kama zamani.Umeisikia Ofa ya DC

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad