Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema hawawezi kukata tamaa ingawa hali ya demokrasia inazidi kuwa mbaya zaidi.
“Tukifanya hivi tutakuwa wasaliti wa vizazi vinavyokuja. Uovu hauwezi kuwa na nguvu haki itashinda vita hii japo kwa mateso mengi na dhihaki ata wanao tumika vibaya wana hitaji juhudi zetu,” aliandika Lema.
Lema amesema “Tusiogopr kufiki wema kila mara, hujuma nyingi zina pangwa dhidi ya uchaguzi Mkuu, tukisimama hapa tulipo ni hatari sana, twendeni sasa tuuvae ujasiri kwa gharama yoyote juu ya future ya nchi hii,”Hatuwezi kukata tamaa wakati hali ya demokrasia/utawala bora inazidi kuwa mbaya zaidi,tukifanya hivi tutakuwa wasaliti wa vizazi vinavyo kuja.Uovu hauwezi kuwa na nguvu haki itashinda vita hii,japo kwa mateso mengi na dhihaka,ata wanao tumika vibaya wana hitaji juhudi zetu.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) June 21, 2020
“Safari sio rahisi lakini matumaini ni makubwa kwani haki ni sifa na tabia ya Mungu,
Hawa watovu, msid0d0vue ya twita mkatu
ReplyDeleteletea huku.
Tunahitaji kuwasahau tafadhalini.
Umaarufu walioupata ulikuwa wa Makosa.