Haji Rashid Pandu ndio Mgombea wa 12 kuwasili katika Ofisi kuu za Chama Cha Mapinduzi CCM kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho.
Haji Rashid Pandu aliahidi kwamba kuleta Maendeleo katika sekta ya kilimo.
" Katika Sekta ya kilimo bado hakufanywa kitu hivyo huu n muda wa kuleeta Maendeleo katika sekta hiyo" alisema Haji Rashid Pandu.
Aliongeza kwamba Nia yake ni kuleta Mapinduzi ya Uchumi katika vijiji na anaona nyezo zipo lakini hazifanyiwi kazi.