Jafo akerwa na uzembe wa DC Sumbawanga




Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sumbawanga kujieleza ni kwanini asichukuliwe hatua kwa kutosimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo huku akioneshwa kusikitishwa na uzembe wa Viongozi wengine akiwemo DC Sumbawanga Mjini. 

“Nidhamu inapaswa ianze kwa Viongozi lakini RC (Rukwa) Mkoa wako una matatizo kwa baadhi ya Viongozi, nafahamu kuna DC ulimpa likizo ya siku 14 akakaa zaidi ya mwezi mmoja, kaandikiwa barua hadi leo hajajibu anakuwa kiburi, nitamwambia JPM, Sumbawanga kuna viongozi wazembe" - Waziri Jafo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad