Kauli ya Lijualikali Baada ya Kuhojiwa na TAKUKURU Kuhusu Wabunge wa Chadema Kukatwa Mishahara
3
June 11, 2020
Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali, amewataka Wabunge wote ambao wameitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano, waseme ukweli na si kudanganya.
Lijualikali ameyabainisha hayo leo Juni 11, 2020, mara baada ya kutoka kufanyiwa mahojiano na taasisi hiyo kufuatia tuhuma walizozitoa dhidi ya CHADEMA, kuwa walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi, ambapo Wabunge wa kuchaguliwa walikuwa wakikatwa laki 5, huku Wabunge wa Viti Maalum wao walikuwa wakikatwa Milion 1.5.
"Mahojiano yalikuwa mazuri na ya kirafiki, niwaombe wenzangu ambao wanakuja kwamba TAKUKURU imejipanga wana kila taarifa, yaani kama umejipanga kuja kudanganya, hauwezi kudanganya kabisa" amesema Lijualikali.
TAKUKURU Makao Makuu imesema kuwa itawahoji jumla ya Wabunge 69, pamoja na waliowahi kuwa Wabunge wa CHADEMA, ikiwa ni mwendelezo wa uchunguzi wa malalamiko dhidi ya matumizi ya fedha za chama zilizolalamikiwa na baadhi ya waliowahi kuwa Wabunge kupitia chama hicho
Tags
Wame dhulumiwa vya KUTOSHA.
ReplyDeleteWame dhalilishwa vya KUTOSHA.
Wame Ibiwa vya KUTOSHA.
Wame Danganywa toto vya KUTOSHA.
Wame Gawanywa vyo KUTOSHA.
Wametumika kujenga na kupandikiza chuki na kupinga kila jambo la Serikali
iliyo madarkani awamu zote vya KUTOSHA
Mbongo na timu yako Mahiri Tunaimani.
haki itafikiwa na kupatikana.
Mahoteli ya kitalii kwa pesa hizi na
uufuaji wa pesa ulioendelea utabainika
na wanufaika kullikana na njia danganyifu (Njia Hewa) katika kufaikisha suala zimala Uporaji huu.
Silinde/Komu/ Mollel/ Ester/msgwa/Mwita/Lijualikali/Selazini/Lwakatare.
ReplyDeleteFirimbi yenu y Faulo tumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.
Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho
NBC Account # 011103007155
ECOBANK Account# 0020055401089601
Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.
Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege
Silinde/Komu/Mollel/Ester/msgwa/Mwita/Lijualikali/Selazini/Lwakatare.
ReplyDeleteFirimbi yenu ya Faulo tumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.
Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho
NBC Account # 011103007155
ECOBANK Account# 0020055401089601
Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.
Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege