Kauli ya Msigwa Juu ya Hatma ya Jimbo Lake....


Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama chake, amepata kigugumizi kulijibu swali la kwamba hivyo ndivyo ataachana na wananchi wake endapo ataingia kwenye nafasi kubwa ya Urais.

Hayo yamejiri leo Juni 5, 2020, wakati wa mahojiano maalum na EATV&EA Radio Digital, ambapo pia alikataa suala la yeye kumkimbia muigiaji Steve Nyerere, ambaye alishatangaza nia ya kugombea Ubunge Iringa Mjini.

"Ni kweli nimepeleka barua siku ya jana, mimi sijasema kwamba nataka kuwaaga wananchi wa Iringa hayo ni maneno yako, halafu ukisema nataka kumkimbia Steve Nyerere kwani yeye ni nani, na ndani ya siku nne nitaongea na vyombo vya habari kueleza kwanini naitaka nafasi hiyo" amesema Mchungaji Msigwa.

Juni 3, 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika alitangaza rasmi kufungua mlango wa watia nia ya kugombea nafasi ya Urais, waanze kupeleka barua ofisini kwake, zoezi ambalo litahitimishwa Juni 15, 2020.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukweli ni kwamba tunae mtabua na Kutambulika Ulmenguni ni Dkt. MaryRose

    Yeye anajua Tundu ni mbovu kiafya.
    ssa yee atamkkimbia vipi msanii ya Kimataifa INTENESHONO STVEEEVVV NYELELE ANAKUJA KWA KISHINDOOOOO ASAS OYEEEE...STEVE SAFIIII...!!!

    Dkt MaryRose Safiii...!!!
    Tundu bovu oyeee...!!!
    Peter kapitia wapi? Steve Nyerere Safi

    ReplyDelete
  2. Ukweli ni kwamba tunae mtabua na Kutambulika Ulmenguni ni Dkt. MaryRose

    Yeye anajua Tundu ni mbovu kiafya.
    ssa yee atamkkimbia vipi msanii ya Kimataifa INTENESHONO STVEEEVVV NYELELE ANAKUJA KWA KISHINDOOOOO ASAS OYEEEE...STEVE SAFIIII...!!!

    Dkt MaryRose Safiii...!!!
    Tundu bovu oyeee...!!!
    Peter kapitia wapi? Steve Nyerere Safi

    ReplyDelete
  3. Ukweli ni kwamba tunae mtabua na Kutambulika Ulimwenguni ni Dkt. MaryRose

    Yeye anajua Tundu ni mbovu kiafya.
    ssa yee atamkkimbia vipi msanii ya Kimataifa INTENESHONO STVEEEVVV NYELELE ANAKUJA KWA KISHINDOOOOO ASAS OYEEEE...STEVE SAFIIII...!!!

    Dkt MaryRose Safiii...!!!
    Tundu bovu oyeee...!!!
    Peter kapitia wapi? Steve Nyerere Safi

    ReplyDelete
  4. Silinde/Komu/ Lihualikali/Selazini/Lwakatare.

    Firimbi yenu y Fauloyumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.

    Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho

    NBC Account # 011103007155
    ECOBANK Account# 0020055401089601

    Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.

    Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad