Kesi ya Idriss Sultani yapigwa kalenda




Kesi inayomkabili mchekeshaji Idris Sultan ya kutumia laini ya simu ambayo haijasajiliwa kwa jina lake na mwenzake Innocent Maiga iliyokuwa ikisikilizwa leo (Juni. 09) imesogezwa mbele mpaka Julai 9, 2020. 

Hii ni baada ya upande wa mashitaka kudai haujakamilisha maelezo ya awali na hivyo kuomba kuomba kupangiwa tarehe nyingine. 

Idris Sultan kwa sasa yupo nje kwa dhamana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad