Web

Klabu ya Chelsea yakemea ubaguzi wa rangi



Kabla ya mazoezi ya Chelsea leo katika uwanja wao wa mazoezi wa Cobham, wachezaji na benchi la ufundi walipiga goti na kutengeneza herufi H kama kifupi cha neno HUMANS na kupinga ubaguzi wa rangi katika movement ya BlackLivesMatter.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad