Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020

Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad