Marekani yataka Uchunguzi juu ya Shambulio la Mbowe Ufanyike



Ubalozi wa Marekani umesema kwamba tukio hilo ni la kikatili na lisilo la sababu .

Ubalozi huo umesema kwamba umesjhtushwa na tukio hilo na kutoa pole kwa mbunge huyo na familia yake.

''Ubalozi wa Marekani umeshtushwa na kuhuzunishwa na tukio la kikatili la kushambuliwa kwa mbunge na mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe tarehe 9 Juni, tunatoa pole kwa mbunge huyo na familia yake'',ilisema taarifa hiyo.

Ubalozi huo umelitaja shambulio la kiongozi huyo wa Chadema miongoni mwa mlolongo mrefu wa matukio ya kusikitisha ya utumiaji wa nguvu na unyanyasaji yanayofanywa dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani.

Aidha ubalozi huo umetambua kwamba mojawapo ya mashambulio hayo ya kikatili dhidi ya viongozi wa upinzani ni jaribio la mauaji lililotokea tarehe 7 mwezi Septemba 2017 dhidi ya Tundu Lissu ambalo ufumbuzi wake haujapatikana hadi leo.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shambulio la George Floyd?

    ReplyDelete
  2. One thing at a time
    Start with the suffering of many black African American

    ReplyDelete
  3. Tuna hamu ya kusikia tamko la ubalozi huo juu ya ndugu zetu weusi waliowachukua kama watumwa, wamewatumikishaaaa tani yao, sasa hawawataki na wanawalipa mateso. Heri warudi nyumbani Africa waliotokea kama hawawataki tena. Home is home

    ReplyDelete
  4. A druken and an adulteryman, trying to politicisise the scenerio. We Tanzanians knows best, how to go about..!!

    Will be better, to refrain on telling
    us what to do..!!

    Deal with your ongoing affairs, while we deal with our's. esp the unlawful
    killings and the ongoing Pandemic.

    Keep our friendship with mutual respect. Politics of TZ for TZN within
    our culture and Norms.

    Adultery and excessive drunkness and Gay's are notin our culture.

    Keep yours we keep ours.


    ReplyDelete
  5. A druken and an adulteryman, trying to politicisise the scenerio. We Tanzanians knows best, how to go about..!!

    Will be better, to refrain on telling
    us what to do..!!

    Deal with your ongoing affairs, while we deal with our's. esp the unlawful
    killings and the ongoing Pandemic.

    Keep our friendship with mutual respect. Politics of TZ for TZN within
    our culture and Norms.

    Adultery and excessive drunkness and Gay's are notin our culture.

    Keep yours we keep ours.


    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad