Mashinji Amrushia Kijembe Mbowe Sakata la Kushambuliwa



Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Vicent Mashinji amemrushia kijembe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe.

Mashinji ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aliandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter “Kuteleza na kuanguka ni kitu cha kawaida kutokea dunia. So kuvunjika tu wengine hata wamepoteza maisha,”

Akiongezea “Tujitahidi kuwa makink tunapopanda ngazi hata kama ni mbili tu! NsumbaNtale,”
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anauelewa Usanii Ulio kuwepo Kule.

    Hawana hata Haya.. Wangoje kikombe Mlimani city cha Usanii Bora!!

    https://youtu.be/AA8WGpFTafI

    ReplyDelete
  2. Huu ni Usanii wa next level...!!!

    Baby... Unajibebisha mpaka unatetereka!!
    na Kuteguka... Hii mwanzo Mwisho...!!!

    ReplyDelete
  3. Usanii Umemshinda ...Shalukani..


    Inachekesha... Faru John Kiboko..!!

    "tangu aliposhambuliwa na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake, pamoja na kwamba hatuna uhakika atalazimika kufanyiwa upasuaji mara ngapi au uchunguzi na matibabu ya ziada yatachukua muda gani na yatabaini nini"


    Makene!

    Sasa kwa taarifa zaidi inahitajika

    Photoshop Editing kuongeza mazagazaga ili stetimentii ifanane.

    Halafu unamrudisha Jijini Dodoma aende kuendelea na mlolongo wa madai yake ikiwemo stetimenti crucial to Upelelezi.

    Kamanda Muroto anamsubiri . Tena haraka.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad