Matokeo ya Yanga na JKT Tanzania...Yanga Yatulizwa Kasi...Yaambulia Point Moja


Hatimaye game imemalizika katika Uwanja wa Jamhuri, Makao makuu ya Nchi, Dodoma. Hakuna mbabe.

Kadi mbili nyekundu zatolewa kwa Lamine Moro wa Yanga na Mwinyi Kazimoto wa JKT.

FT: JKT Tanzania 1-1 Yanga SC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad