Mbatia Awashukia Wapinzani
1
June 11, 2020
MBATIA AFICHUA ALICHOONGEA IKULU NA RAIS MAGUFULI "TUSIBISHANE ...Mwenyekiti wa chama cha NCCR- Mageuzi James Mbatia ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wapinzani nchini kutukanana matusi na wanachama wa vyama vingine vya upinzani nchini ikiwa wote lengo lao ni moja.
Akizungumza leo kwenye kikao cha ndani cha wanachama wa NCCR mkoani Arusha amesema upinzani sio ugomvi wala uadui bali ni njia mbadala ya kuinua masia ya wanajamii.
“Upinzani sio uadui, upinzania sio matusi kwakua mtu yupo chama tofauti na wewe sio maan ni adui yako, upinzani ni namna iliyoboroa kubolesha maisha ya wananjamii ” amesema.
Siku kadha zilizopita mwenyekiti huyo wa NCCR alifungua milango kwa vyama vingine vyote vya upinzani nchini ushirikiana kwenye uchaguzi mkuu wa Serikali unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020.
Tags
Mbatia, Hawa waliopoteza Madira katika Uongozi wa Vyama vyao Na Kuanzisha Usanii Itawakosti.
ReplyDeleteNCCR kILIkuwa ndio chama Imara Zaidi katika Mfumo Huu na sasa ni sama same
Kinarudi wakati hawa wengine inaelekea kufunga milango yake na kufa.
MBatia Oyee!!