Mbowe Afanyiwa Upasuaji wa Mguu Katika Hospitali ya Agakhan
6
June 11, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefanyiwa upasuaji wa mguu wake alioumia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kimeeleza kuwa tayari Mbowe amefanyiwa upasuaji huo na anaendelea vizuri na matibabu.
Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Agakhan akiendekea na matibabu ya mguu huo ambao unadaiwa kuvunjwa na watu waliomvamia wakati akiingia nyumbani kwake Dodoma.
Kiongozi huyo ambaye ni mbunge wa Hai alivamiwa Juni 9, 2020 na watu watatu wasiojulikana na kuushambulia mguu huo na kumsababishia majeraha majira ya saa sita usiku.
Mbowe alipekekwa hospitali na kupatiwa matibabu ya awali na kuhamishiwa katika hospitali ya Agakhani jijini Dar es Salaam.
Tags
mbn munakosea kusema kashambuliwa huyo ni actor wa chadema chama cha usani hamna lolote havamia kateguka kaumia sasa tena munaongeza na chumvi kavamiwa, kajivamia mwenyewe unajua ukisha news unakuwa hali bin taabani hukujui unaona tu mambo kama uko kwenye ndoto so same thing happen to huyo maskini mbowe kwa hii bwana tunajianda kutoa tuzo hakika yeye ndie mshindo ajiandae itakuwa milimani city tunawakaribisha wote na director wake kina huyu mchungaji wa iringa sijui jina lake TANZANIA TUNA TAKA AMANI YETU IENDELE NA YUP USANII WENU TUMECHOKA KWA KWELI HATA KUSIKIA MAJINA YENU NA HICHO CHAMA CHENU TUNAKIRIHIKA TUACHENI NA MAGUFULI WETU JAWS WAPIGWE MARUFUKU KUONGEA OVYO
ReplyDeleteSwadakta Mdau, Huyu hata Shalukani (Sharukh Khanu) Haoni ndani.
DeleteTuanze kumpa tunzo Mlimani City halafu kama itapendeza Grammy Award of 2050 Paris France. Kama kolona itamwacha manake Baby aliomvamia nasikia kabla ya masiku alijiweka kalantini ya kolona.
Baby alimpigia simu. Baby Sikuoni!! Mwanaume Akajibebisha ..
baby oyeeeeee!!!
Kuji Bebisha Oyeee!!!
USANI HONGERA NA WASANII OYEEEE!!
duu we kweli ni msani na unavo jidai kulala kama vile umeumia na kumbe huna lolote hangover hizo hebu has hapo tumechoka halafu munajiita wabunge sijui mwenye kitu kweli halafu munaleta mchezo wa kitoto wavamiaji hao wamefikaji huko mguuni Mungu anawaumbua hata uongo hamjui kutunga huna hata kialama cha mkwaruzo halafu bwana halina hata haya jinga kubwa
ReplyDeleteBaby!! Baby!! Uko Wapi Baby..!!
DeleteNiko na Makoledi tunadicuss..njoo baby..!! Bado mapema!
Tena Kalala fleti.
Next Edition itakua na Maoxjeni na vipimo kabandikwa. wait for nexy Enhenced Photo shop!!!
Huyu hata Shalukani (Sharukh Khan) Haoni ndani.
Tuanze kumpa tunzo 2020 Kilimani CLub halafu kama itapendeza Grammy Award 2021 Dodoma City. Kama kolona itamwacha manake Baby aliomvamia nasikia kabla ya masiku alijiweka kalantini ya kolona.
Baby Sikuoni!Mwanaume Akajibebisha
baby oyeeeeee!!!
Kuji Bebisha Oyeee!!!
USANI HONGERA NA WASANII OYEEEE!!
Jamani.. Baby kaumia mguu..!
ReplyDeleteIlikuwaje Baby..??
Mie mbona sielewi. baby!!
ReplyDeletepicha Naona uko FO FO FO..
Si bora mgeziongezea Photoshop editing
Osoni kuwe na ngumi inapanchi na
miwani na saa na Simu iwe Damu Damu na Uvimbe .. Baby lina unakuja tena!!