Mbunge Bwege Aona Isiwe Tabu....Atangaza Kuondoka CUF na Kuhamia Chama Hichi..........



Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kuondoka CUF na kuhamia rasmi ACT Wazalendo

”ninawatangazia rasmi kuwa likivunjwa Bunge tu mimi sio tena Mwanachama wa CUF ,karibuni ACT”

"Nahamia ACT kwasababu Chama kina miaka mitano na hakijafikia hatua ya kwenda kinyume na Katiba ukiingia sasa hivi ni ile kambare mkunje angali mbichi, ukibaki CUF, CCM makovu ndio hayohayo, kwahiyo najiunga ACT kukukipika kabla hakijaharibikiwa"-BWEGE

"Mimi sio Mfuasi wa Maalim Seif, ni Mwanasiasa mkongwe najua maana ya siasa, sijamfuata Maalim Seif, nilkuwa CUF ya Maalim Seif nikiisimamia Katiba ya CUF, kitendo cha Lipumba kujiuzulu na kulazimisha kurudi CUF niliona hafai kuwa Kiongozi" - BWEGE
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad