Mbunge wa Bukoba Mjini,Wilfred Lwakatare Awataka Viongozi wa CHADEMA Wajitafakari Wanaongozwa na Viongozi wa Aina Gani


Mbunge wa Bukoba Mjini,Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani. Amewashangaa CHADEMA wanavyompinga Rais Magufuli kwa ujenzi wa miundombinu alioufanikisha wakati wao ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu unawashinda
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh Lwakatare, Siri ya kuchulua kinyemela Bil ^.3 imeshatoka na akaunti No# ya NBC na ECOBANK zote zimeshafika Takukuru na Zinafanyiwa Kazi.

    Mijizi na Mijambazi katika Saccozi imebainika. Ngoma inaanza kuwa Tamu.

    ReplyDelete
  2. Mh Lwakatare, Siri ya kuchulua kinyemela Bil 6.3 imeshatoka na akaunti No# ya NBC na ECOBANK zote zimeshafika Takukuru na Zinafanyiwa Kazi.

    Mijizi na Mijambazi katika Saccozi imebainika. Ngoma inaanza kuwa Tamu.

    ReplyDelete
  3. Mh Lwakatare, Siri ya kuchulua kinyemela Bil ^.3 imeshatoka na akaunti No# ya NBC na ECOBANK zote zimeshafika Takukuru na Zinafanyiwa Kazi.

    Mijizi na Mijambazi katika Saccozi imebainika. Ngoma inaanza kuwa Tamu.

    ReplyDelete
  4. Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho

    NBC Account # 011103007155
    ECOBANK Account# 0020055401089601

    Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.

    Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege.

    ReplyDelete
  5. Silinde/Komu/ Lihualikali/Selazini/Lwakatare.

    Firimbi yenu y Fauloyumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.

    Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho

    NBC Account # 011103007155
    ECOBANK Account# 0020055401089601

    Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.

    Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege

    ReplyDelete
  6. Mungu Ibariki Tanzania.
    Mungu Ilinde Tanzania.

    Iendele kuwa Kitovu n Kisiwa cha Amani

    Mungu Awaangamize Vibaraka wote wasio
    itakia mema Tanzania yetu. Amin.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad