Mchungaji Msigwa: Aliyesema CHADEMA hakuna Demokrasia ni Muongo


Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa mtu aliyesema kwamba chama hicho hakina demokrasia ni muongo kwa kuwa hata kwenye mchakato wa Urais, kimetoa nafasi kwa wanachama wake kuwasilisha barua za kutia nia ya kugombea nafasi hiyo.

Msigwa amesema  kuwa chama chao kinayo demokrasia na ndiyo maana hata yeye amepeleka barua ya kutia nia ya kugombea nafasi ya Urais.

"Huyo anayesema ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia kwani ni lini chama kimetangaza mchakato wa Urais, chama kimetangaza na kimetoa taarifa wazi na ndiyo maana mimi nimepeleka barua, anayesema hakuna demokrasia alikuwa ni mtabiri muongo, kwanza Sumayae hayuko kwenye chama chetu" amesema Msigwa.

Juni 4, 2020, Msigwa alipeleka barua yake ya kutia nia ya kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumesha kuona kwenye mitandao na vyombo
    vya habari kwa Ukikiri na ukiwa na akili ( hatuna uhakika wa utimamu wake)
    kwamba Hulka yakoni Mzushi, Mzandiki,
    Mpotoshaji, Mmsingiziaji Na MUONGO USIYESADIIKA AU KUSADIKISHA.

    Hiyo ime kukosti.

    Hivyo kidudu mtu wewe unaweza kujifikiria kwamba kuna siku unaweza kuwa hata mlinzi wa Geti ya Chamwino.
    JITATHMINI DOGO NDOTO HEWA HAZITAKIWI..

    UMESHTOA TAARIFA ZAKO KWA MBUNGO KUHUSU MWENENDO WA MONEYLAUNDRING HAPO
    KWENYE SACCOZ YA FAMILIA MPAKA KUMILIKI HOTELI ZA KITALII NA BAADHI YA WAGENI WAKE WAKUJA KWA MALENGO YAPI
    HUKU WAKIINGIA KAMA WATALII.?

    Steve Nyerere anajikoki KONKI

    ReplyDelete
  2. Msigwa, Jitathmini, Wewe na Mama Dkt
    MaryRose nani Jembe ?? Jibu unalo.

    Dkt MaryRose Oyeeee.
    Steve Nyerere Oeeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad