Mdee na Bulaya watua Takukuru
4
June 12, 2020
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya wamefika katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa.
Mdee na Bulaya wameingia katika ofisi hiyo majira ya saa 05:00 asubuhi wakiwa wamevalia barakoa kwaajili ya kuhojiwa juu ya Tuhuma zinazo kabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Wabunge hao wanahojiwa kuhusiana na matumizi mabaya ya fedha za Chadema ambazo zimelalamikiwa na wabunge waliotoka katika chama hicho
Tags
Wame dhulumiwa vya KUTOSHA.
ReplyDeleteWame dhalilishwa vya KUTOSHA.
Wame Ibiwa vya KUTOSHA.
Wame Danganywa toto vya KUTOSHA.
Wame Gawanywa vyo KUTOSHA.
Wametumika kujenga na kupandikiza chuki na kupinga kila jambo la Serikali
iliyo madarkani awamu zote vya KUTOSHA
Mbongo na timu yako Mahiri Tunaimani.
haki itafikiwa na kupatikana.
Mahoteli ya kitalii kwa pesa hizi na
uufuaji wa pesa ulioendelea utabainika
na wanufaika kullikana na njia danganyifu (Njia Hewa) katika kufaikisha suala zimala Uporaji huu.
Silinde/Komu/Mollel/Ester/msgwa/Mwita/Lijualikali/Selazini/Lwakatare.
ReplyDeleteFirimbi yenu ya Faulo tumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.
Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho
NBC Account # 011103007155
ECOBANK Account# 0020055401089601
Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.
Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege
Mbaya Zaidi..!!Ame bambikiza Madeni Hewa
ReplyDeletekwa Chama akidai, alikikopesha katika Mchakato wa Uchaguzi 2015. Kupitia Halmashauri kuu ya Kamati Kuu???
MADENI HEWA YA KIPORAJI NA KUPELEKA KWA SHEMEJI AMBAE ANAZIRUDISHA KWA MLENGWA.!
MPAKA LINI ????
Hii money laundering Syndicate
ReplyDelete( Illegally-gained proceeds)
Inaangaliwa kwa upana wake unaostahili.
ikiwemo Madhara na faida kwa nchi yetu.
Wanaosema vyuma Vimekaza walikuwa na Uwezo wa kupata pesa Hewa kwa njia HEWA HEWA kama ilivyo hapa .. in a smart decoy.. lakini si katika awamu ya wabunge wa Awamu hii ya Heche na Msigwa na mbilinyi na Silinde