Mke wa Babu Tale Shammy kuzikwa Mkoani Morogoro


Aliyekuwa msanii wa BongoFleva na sasa anaimba Kaswida, Suma Lee ambaye ni mwanafamilia wa Babu Tale wametangaza taaarifa za awali za msiba wa mke wa Babu Tale.


Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa amesema msiba utakuwa Mikocheni jijini Dar es Salaam na mazishi yatafanyika mkoani Morogoro. “INNAA LILLAHI WA INNAA ILAYHI RAAJIUUN

BI SHAMSA BINT KOMBO AMEFARIKI

MSIBA UPO MIKOCHENI KUZIKA TUTAZIKIA MOROGORO
IKHLAS 11 NA SWALA ZA MTUME KUMI ZIMFIKIE MAREHEM NA JAMAA ZAKE
WALIOTANGULIE PIA NA SIE NA NDUGU ZETU NA MASHEIKH WOTE”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad