Mke Wangu Amerudi Kwao Kwa Sababu Nina Mjusi Mkubwac- Mwanamume Afunguka Kwa Uchungu
1
June 01, 2020
John ambalo si jina lake kamili sasa anakumbwa na msongo wa mawazo baada ya mkewe kuamua kufungisha virago na kurudi kwao alikozaliwa kwa kile amesema hangeweza kustahimili mikiki ya Mpini wake mkubwa aliobarikiwa nao.
Mwanamume huyo amesema miaka 3 ambayo amekuwa kwa ndoa na mkewe imekuwa ya taabu kwani kila mara alipokuwa anamlipua mikiki mkewe alikuwa analalama kuwa anahisi uchungu, jambo ambalo lilikuwa linampa huzuni mwingi.
Kila mara nilikuwa najaribu kushirika ngono na mkewe wangu, alikuwa analalamika kuwa anahisi uchungu kutokana na mpini wangu kuwa mkubwa sana. Kweli, kama mwanamume mwingine jambo hilo lilikuwa linaninyima raha ya kufurahia kusoma katiba ya mke wangu .Amesimulia John.
Amesema wakati mwingine alikuwa analazimika kuvumilia hata kama haki zake za kimsingi zilikuwa zinakiukwa.
Siku nyingi nilikuwa nalazimika mimi labda nilale tu hivyo bila ya kumgusa mke wangu. Kibaridi chote cha usiku kilikuwa kinanibamiza tu mimi kila mara. Aliongezea John.
Ameongezea kuwa kipenzi chake hicho kilifikia hatima ya kuhama katika chumba chao cha kulala na kuamua kuanza kulala sebuleni jambo ambalo lilimfanya kuanza kuwa na unyonge ndani ya Moyo.
John amesimulia kuwa hatua ya mkewe kuhama chumba chao maalum cha kulala usiku ilikuwa dhihirisho kuwa mambo hayakuwa yanaenda sambamba namna walivyokuwa wakianza kuishi pamoja.
Ilifikia wakati ambapo sasa mke wangu hakutaka mimi kumsongea kamwe, alikataa hata nisimpapase usiku. Nakumbuka akiniarifu kuwa ataanza kulala sebuleni. Jambo hili lilinikwaza kweli japo nikamruhusu aanze kulala huko. Aliongeza John.
Kulingana na John, siku ya mwisho kusoma katiba ya mkewe mambo hayakuwa jinsi alivyokuwa anatarajia kwani mkewe alianza kulia kwa sauti ya juu akisema anasikia maumivu makubwa katika sehemu zake za siri, tukio lililomfanya kuwacha kuendelea kumlipua lungula.
Nakumbuka wakati mmoja alipoamua kunipatia haki yangu kama mume wake na tulipoanza tu kidogo hivi, mke wangu alianza kutoa misinyo eti anaumia na kama mtu yeyote yule niliamua kumwachilia kutokana na wito wake wa kusema anasikia maumivu, nikaamua kuacha kuendelea na kitendo, amesema John.
Siku moja baadaye akiwa kazini John anasema kuwa alipokea simu kutoka kwa mkewe akimwambia anarejea kwao alikozaliwa kwani hangestahimili mwanamume ambaye ana mpini mkubwa.
Tags
pole sana ndugu ila uke si upo kama mpira ongeanae atozoea tu
ReplyDelete