Mkuu wa Majeshi Aagiza Vijana wa JWTZ Kuhakikisha Wanalitoa Lori Lilozama Wami



Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo ameguswa na majanga yaliyomkuta Mwajuma Selemani, Mmiliki wa Lori lililozama Mto Wami kwa zaidi ya siku 10 na ameagiza vijana wa JWTZ kuhakikisha Lori hilo linalotolewa.

Team kutoka JWTZ imefika Wami ikiwa na Gari mbili za uokoaji na imefanikiwa kulichomoa Lori hilo leo, awali kabla ya Jeshi kuingilia kati waokoaji wa kwanza walishindwa kutokana na madai ya uwepo wa kina kirefu, kasi ya maji, maji machafu nk, hadi kufanya Mwajuma akate tamaa na kurudi DSM

”nimefika nyumbani Jen. Mabeyo akanipigia simu nirudi Wami”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad