Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Ubungo, CHADEMA, Saed Kubenea, kwa kuwa mstari wa mbele kushiriki katika mipango ya maendeleo licha ya kuwa Chama cha Upinzani.
Akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mkoani humo, RC Makonda amesema anasikitishwa na kitendo cha Mbunge wa Kawe Halima Mdee, pamoja na John Mnyika wa Kibamba, kukataa mpango wa serikali kujenga barabara kutoka Bunju-Mabwepande-Kibamba hadi Pugu, kwa kudhani kuwa mradi huo ungeinufaisha CCM.
Makonda, waliokuwa Wabunge kipindi kimeshapita na Ubunge umeshapita.
ReplyDeleteTunawashuuuru kwa michango yao katika
kipindi walicho tuwakilisha.
Kwa sasa wana tafuta Ajira stahiki
Halima nimessha mchumbia kwa kutoa
ofa ya ndoa. Nasubiri ridhaa yake.
Baada ya kumaliza mambo yake KISUTU.