MBUNGE wa Iringa mjini (CHADEMA) Peter Msigwa, leo Juni 14, 2020 ametangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020.
Alichokisema Peter Msigwa
“Leo natangaza rasmi ni yangu ya kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tayari kwa mujibu wa taratibu na katiba ya CHADEMA nimeshawasilisha taarifa rasmi ya kuomba kuteuliwa na chama kugombea Urais wa JMT
”Nimesukumwa na jambo moja la msingi kutaka kuwania nafasi hii ya juu kabisa. Nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala,kiuchumi,kielimu, yatakayoleta maendeleo makubwa na ya haraka. Yaliyo jumuishi na endelevu kwa manufaa ya sasa na Tanzania ijayo”
Msigwa Kolona baba, Balakoa zinapatikana
ReplyDeleteBei poa.
Mama Dkt MayRose amesha tangaza Nia Inatosha. Na kule online pia.
Sasa amebaki Nyalandu na Wewe Nani Kuku nani Tai?
Mie nakupa Kura ukinihakikishia kuwa Kiafya Uko Salama!
Inatia wasiwasi Umetoka Karantini iku chache zilizopita. Tunaomba shahada kuwa uko free from Kolona!
Mch Msigwa, Hongera mwanangu.
ReplyDeleteunafaa kuliongoza hili genge.
Naomba Baraza lako la Mawaziri.
Ili nipate picha Kamili.
Msigwa Oyee!! Steve Nyerere Oyee!!
Mnagawana Ulaji. Poa! Tujulishe sherehe
yako ya kuapizwa ili tujipange na nauli kukufata... KIBEKO oyeee!!
Lakini Ngoja kwanza! Si wewe ulitujulisha kuwa Mzandiki na Muongo??
au napoteza netiweki kama wewe?
Faru John... Anaendeleza machafuko Mitandaoni..... Uwiiiii!! tumeingiliwa..!!
ReplyDeleteFaru John Kiboko..!!!!
Vichekesho ... Kibeko unataka nini.
ReplyDeleteKIBEKO hata mchakato wa ndani ya Saccozi hutopita.
Ila umejipa moyo kuwa siku katika maisha yako ulisimama na Bendera ya Taifa ikawa nyuma yako Ukatokea kwenye Online.
Sasa Online presd alikuruhusu?
Hivyo Kweli Uko Timamu au ndio vile?
ReplyDeleteHongera Mch Msigwa!!
ReplyDeletehttps://youtu.be/EpBDiKuNabY
Kula yetu tunakupa!
Hivyo Mirembe iko wapi?
ReplyDeletehttps://youtu.be/51C8S3p_P3o
Mhhhh...... Faru Joni..!!!
ReplyDeletehttps://youtu.be/51C8S3p_P3o
Kwani kwa Mbowe ameshavuka.? Bado ana kazi, na pengine akafukuzwa uanachama