Mwanamke atolewa vitu nje baada ya kumfumania mumewe na wanawake wawili




Doris Temba ni Mwanamke ambaye amefunga ndoa na Mume wake Alfredy Ngoda kwa miaka kumi lakini ametolewa nguo zake nje na kutakiwa kuondoka baada ya kudai kumfumania Mume wake na Wanawake wawili tofauti kwenye nyumba yake huku mmoja akiwa amevaa nguo zake. 

Mwananaume amekiri kutoa vitu vya Mkewe nje na kulalamika kuwa hapewi unyumba kwa madai ya kuambiwa Mkewe ana ana jini mahaba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad