Nakua Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...


Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.

1. Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafir wa kwetu ni shida,mnabana had kupumua shida.Matokeo yake sipend watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafiri wa jumuiya!

2. Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap, hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo, au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe, weka sehemu flani then piga picha.

Hii inanifanya hata saa zingine niokote makopo ili nipige picha ili aamini

JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa staili hy maendeleo yatakuja bdae sn na ni mapenzi mabaya sn hayawezi kudumu na mademu wa dizaini hy wanafki anakubana ww lkn yeye km kawa watu wanabomoa tu wanavyotaka usiyakubali mapenzi mi yashanikuta anajifanya ana wivu kwangu kumbe yeye sasa utasema tu mwenyewe we ulione picha vzr

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli maana mademu wengi michepuko wanna wivu kupita kiasi ili azijue ratiba zako vizuri akafanye mambo yake

      Delete
  2. Nouma sana abiria chunga mzigo wako

    ReplyDelete
  3. Wewe unapokuwa bize na kupiga picha hayo mawe mwenzio huko ameinamishwa jamaa anatifua vuzi tu!halafu mshkaji anaoneshwa jinsi ulivyo fala...chezea mademu wa siku hizi wewe?mapenzi walikuwa nayo bibi yako na babu yako baasi.

    ReplyDelete
  4. we nawe muongo tuu umezidisha kutudanganya yani anataka upige hadi jiwe mmhh!! haya bana labda ni kweli bac we fanya kweli sasa uone hizo action zake....mwambie ajiamin we ukiamua kufanya utafanya tuu

    ReplyDelete
  5. jaman huyo muingo huyo anatudanganya tena cjui kama siyo mwnyewe admin!!!!

    ReplyDelete
  6. Hahahahaha chezea mapenzi wewe......

    ReplyDelete
  7. Yana huyo mdada ana wivu kama mimi vile, ila kuna kitu inawezekana ana hisi huja tulia ndo mana inakuwa hivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad