Napenda Kudate na Wanaume Maarufu Tu, Wasio na Jina hapa Mjini kwangu Takataka

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town

Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama kama sura unayo endelea na hao hao maarufu maana sometimes watu maarufu wanapenda sunra nzuri wakipatikana wazuri zaidi yako unapigwa chini Cha muhimu zoesha moyo wako kwenye maumivu pindi utakapo pigwa chini mara kwa mara

    ReplyDelete
  2. hovyoo kama zezeta sasa unafaidika na nn uzuzu onyesha na sura tuione basi utakuta sura lenyewe km uji wa magimbi alafu unalopoka tu hao maarufu pia ni mbwa wenzio tu kwani shngapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad