Ndege Iliyopotea Miaka 37 Na Kurudi Ikiwa Na Mafuvu 92 Ya Binadamu.!
0Udaku SpecialJune 02, 2020
Safari ni moja kati ya kitu muhimu sana katika maisha ya viumbe hai, haijalishi unaishi wapi kitendo cha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine huitwa safari, Sio tu kwa binadamu bali hata wadudu,Unapo nyanyua mguu wako wa kushoto na kupeleka mbele utaita hatua lakini mwenzio sisimizi anaita safari..!
Lakini twende mbele na turudi nyuma hakuna safari inayotisha na kufuraisha kwa wakati mmoja kama safari ya ndege.! Hii husababishwa na maajabu mengi yatokanayo na anga, huko juu huko hakuna barabara ya lami, ila ni rahisi sana kuzimia kama utachungulia dirishani na kumuona mtu anatembea