Ngome na maficho ya kundi la PKK zimeshambuliwa na jeshi la Uturuki




Jeshi la Uturuki limefahamisha kushambulia ngome za wanamgambo wa kundi la PKK katika operesheni yake Kaskazini mwa Irak. 

Jeshi la Uturuki limefahamisha kushambulia ngome na vituo zaidi ya 700 vya wanamgambo wa kundi la PKK katika operesheni yake  "Kucha za chui" , operesheni ambayo imeanzizishwa Kaskazini mwa Irak. 

Taarifa hiyo imetolewa na wizara ya ulinzi ya Uturuki na waziri wake Hulusi Akar. 
Jeshi la  Uturuki lilianzishwa operesheni hiyo mwanzo mwa wiki  ikiwa na  nia ya kuwaondoa magaidi katika maeneo yake ya mpakani 

Katika operesheni hiyo iloanzishwa na jeshi la Uturuki ime imepelekea  hadi kufikia Jumamosi kuharibu ngome na vituo vya magaidi wa PKK zaidi ya  700 Kaskazini mwa Irak. 

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar ,  amiri jeshi YaÅŸar Güler ,  makamanda wa jehsi la ardhini na anga Umit Dundar na Adnan Ozbal wameratibu operesheni hiyo ya jeshi la Uturuki ilioanzishwa Kaskazini mwa Uturuki ilioanendesha usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi. 

Waziri wa ulinzi wa Uturuki  ameahamisha kuwa opereheni hiyo ndio bado imeanza akiwa na maana kwamba itaendelea hadi kutakapo hakikishwa kwamba hakuna gaidi hata mmoja  nje na ndani ya mipaka ya Uturuki.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad