Web

Nyalandu Ataja Kipaumbe Cha Kwanza ni Watanzania Kufurahia Maisha



Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati Lazaro Nyalandu amesema kipaumbe cha kwanza kati ya vyote ni kuhakikisha mtanzania anafurahia maisha.

“Kila #Mtanzania afurahie maisha yake ndani ya nchi aliyompa Mungu wake, ” aliandika Lazaro katika ukurasa wake wa twitter


“#Hofu miongoni mwa watu isiwepo tena. #mifarakano isiwepo tena. # Kuoneana kusiwepo tena. #visasi visiwepo tena. # Nyalandu 2020,”. Aliandika Nyalandu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad