Nyalandu Nyalandu "Saa Yangu ya CHADEMA Kunijua imewadia"
4
June 29, 2020
"Saa yangu ya CHADEMA kuona Nyalandu ni nani imewadia na siku kadhaa zinazokuja tutapata fursa ya kutembea sehemu nyingi Tanzania kuonana na wanachama na kuona baadhi ya sera kama zitafaa ili tuziendeleze" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.
"Tutaweka sheria ya kuruhusu na kulazimisha shule zote za Kata Tanzania ziunganishwe na mkongo wa Taifa ya kuruhusu Data (bando) ziwepo katika shule za Kata (Msingi na Sekondari) ili iwasaidie walimu na wanafunzi katika kuwa na uwezo sio tu wakujifunza TEHAMA lakini vilevile wana uwezo wa kufikia library zilizopo katika Mitandao, itamfanya mtoto wa kijijini na mijini kufanana" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.
Tags
Nyalandu, Seraa zako, Zinaingia Akilini na zina uzika.
ReplyDeleteIla kuna jambo la muhimu ambalo unajaribu kujidanganya na kujifanya hulijuinalo ni.. Mweye Saccozi Mmiliki
wake humtambui.?? au Humjui..??
Came on bebi.. Wake Up..!! Muulize
Zitto na Tundu Antipas Mughwai..
waisha tengenezewa mazishi..Na wewe
unatakayakufike hayo..?? Huwezi kufuzu
wala kutusua. He controls All .
Japo anaendelea na issue zake Tkukuru
lakini he keeps Tabs wit da gang.
Labda Atakuona/anakuona muhamiaji Msaliti jaribu pia kukaa na C. Mwambe
kupata filemu vizuri.
Kura yangu moja unayo kama itakupendez
Amka mwanangu ujue uko wapi na katika
mazingira yapi? na Mustakbali gani.
Hapo ni bebi na kujibebisha.
zaidi ni ..ni Faru Joni na KujiUsama.
Jitathmini kwa Kina katika mazingira
uliyopo na shirikisha Familia kwanza.
Wewe unaona ya Membe(Fame) wao wanaona Hatari mbele.
Mbona wanatuchanganya? Vibeko.!!
DeleteNyalandu, Seraa zako, Zinaingia Akilini na zina uzika.
ReplyDeleteIla kuna jambo la muhimu ambalo unajaribu kujidanganya na kujifanya hulijui nalo ni Mwenye Saccozi Mmiliki
wake humtambui.?? au Humjui..??
Come on bebi.. Wake Up..!! Muulize
Zitto na Tundu Antipas Aluta..(Mtandao presi da. Twita, fesibuku, smartchat)
walisha tengenezewa mazishi..Na wewe
unataka yakufike hayo..?? Huwezi kufuzu wala kutusua. He controls All .
Japo anaendelea na issue zake Tkukuru
lakini he, keeps Tabs wit da gang.
Labda Atakuona/anakuona muhamiaji Msaliti. Jaribu pia kukaa na C. Mwambe
kupata picha vizuri.
Kura yangu 1 unayo kama itakupendeza
Amka mwanangu ujue uko wapi na katika
mazingira yapi? na Mustakbali gani.
Hapo ni bebi na kujibebisha.
zaidi ni ..ni Faru Joni na KujiUsama.
Jitathmini kwa Kina katika mazingira
uliyopo na shirikisha Familia kwanza.
Wewe unaona ya Membe(Fame) wao wanaona Hatari mbele.
Jamani, mbona vimbele mbele.
DeleteSisi tunamjua mama Dkt MayRose.
nyie wengine mnazukia toka wapi??? si mnajua FIRST INN FIRST SERVE. Then its Dkt MayRoz