Peter Msigwa na Tundu Lissu Wawasilisha Barua ya Kutia nia ya Kuwania Urais...Lissu Kufunguka
4
June 05, 2020
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa pamoja na Muheshimiwa Tundu Lissu wametangazwa kuwasilisha barua ya kutia niaya kuwania Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanial
Kwa nyakati tofauti wamewasilisha barua hizo kwa katibu mkuu wa chama hicho ambapo Lissu anadaiwa kuongea na Watanzania muda wowote.
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa CC ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Peter Msigwa amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh Tundu Lissu amewasilisha barua rasmi ya kutia nia ya kuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Ndani ya siku 3 zijazo, Mh Lissu atazungumza na Watanzania na Jumuiya za Kimataifa juu ya nia yake hio. Stay tuned.
Tags
Sifa na Vigezo ni SIFURI.
ReplyDeleteSINA UHAKIKA KUHUSU MASHATIKUZINGATIWA
AFYA YA MAMA ALIYETANGAZA NIA HAPO SACCOZINI NA DUNIANI KABLA YA
HAWA SAKOZI MEMBA WAPYA ANAHITAJI HAKI
YAKE YA MSINGI . AU HAJAMLIPA MWENYE SACCOZI KUMPITISHA ?? SI MNAJUA HONGO NI KINYUME NA MAADILI STAHIKI KAMA
IRINGA STEVE NYERERE YUKO NJIAINI
ASYLUM SEEKER NI RAIA WA WAPI?
NA WAFADHILI WAKE NI NANI..?
ReplyDeleteDkt MaryRose Oyeeee. MARYROSE Safiii.!
Hawa walioji ingiza katika Orodha zaidi ya Dkt Maryrose wachukue barua zao halaka KINA MAMA WANAWEZA HESHIMU
GENDER EQUALITY NA CV YAKE MODERATE POLTISHAN.
MAJINA YA KICHEFU CHEFUNA WASEMAUONGO NA WACHFUZI WA JILA LA A.KINANA NA MALUMBANO YA KIKI WATASABABISHA MILANGO YA SACCOZI KUFUGWA HARAKISHA
ZAIDI.
Sifa na Vigezo ni SIFURI.
SINA UHAKIKA KUHUSU MASHATIKUZINGATIWA
AFYA YA Dkt. MARYROSE ALIYETANGAZA NIA HAPO SACCOZINI NA DUNIANI KABLA YA
HAWA NEW SAKOZI MEMBA WAPYA ANAHITAJI HAKI YAKE YA MSINGI . AU HAJAMLIPA MWENYE SACCOZI KUMPITISHA ?? SI MNAJUA HONGO NI KINYUME NA MAADILI STAHIKI KAMA
IRINGA STEVE NYERERE YUKO NJIAINI
ASYLUM SEEKER NI RAIA WA WAPI?
NA WAFADHILI WAKE NI NANI..?
Huyu Dr maryrosa ni mtoto wa aliyekuwa headmistress?
ReplyDeleteHuyo headmistress alikuwa na kipaji cha hali ya juu kiuongozi, alikuwa km unavyomuona mh rais wetu jpm hapa kazi tu. Alikuwa kiongozi bora hasa asiyeogopa.
Swadakta Mdau, Ndiyo haswaa aliejitoa na kutangaza na kupeleka barua chamani kabla ya hwa Vilaza wawili. MaryRose anakidhi vigezo na masharti yaliyo Ainishwa.
DeleteMaryRose safii..!!!
Steve Nyerere..Oyeee!!!
Mtaturu...Safii...!!!
Saccozi na wana Familia Oyeee..!