Rais Dkt John Magufuli akimkabidhi mama mwenye Ulemavu wa miguu, Nyangoma James eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam msaada wa Mil 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha maisha yake.
Pia Rais aliendesha mchango kwa wananchi wengine wa Ubungo na waliahidi kumchangia kiasi cha Sh Mil 3.