Polisi Aliyemuua Mmarekani Mweusi Kufikishwa Mahakamani leo
0
June 01, 2020
Derek Chauvin, Polisi ambaye anatuhumiwa kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd, atafikishwa Mahakamani leo akikabiliwa na makosa ya kuua na kuua bila kukusudia, Wakili wa Floyd anasema Derek alikuwa na nia ya kuua ndio maana alimkanyaga Floyd kwa zaidi ya Dakika 8.
Kifo cha George kimeibua hasira kali na kusababisha maandamano makubwa Marekani na maeneo mengine.
Tags