‪Polisi katika Jimbo la California nchini Marekani Wasalimu Amri...Wawapigia Magoti Waandamaji na Kuomba Poo


Polisi katika Jimbo la California nchini Marekani wakiwa wamepiga magoti kuomba msamaha kwa niaba ya wenzao, mbele ya raia wa walioandamana kupinga mauaji ya *GeorgeFloyd (46) ambaye alifia mikononi mwa polisi.‬

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad