Rais John Magufuli amesema ugonjwa wa Corona umeisha hivi karibuni atafungua shule za msingi na chekechea.
Rais Magufuli amesema baada ya kufungua vyuo anaangalia hali inavyokwenda ili aweze kufungua vyuo na mwalimu kuendelea kufundisha.
Amesena ugonjwa wa Corona kwa sasa umepungua na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amemueleza Dar es Salaam ina wagonjwa wanne.
“Walisema maiti zitazagaa Afrika walikuwa wanatutabiria hawajui kuna Mungu tuliomba siku tatu Corona imeisha nilikuwa napata taarifa kwa Waziri ameniambia Dar ilikuwa na wagonjwa wanne lakini uzushi utatolewa wa kila aina,”
Aidha, Rais Magufuli amewataka Watanzania kuwa makini na watu wanaotoa msaada wa barakoa zisije kuwasababishia maambukizi.
Swadakta Mkuu.
ReplyDeleteM/Mungu mwingi wa Rehma na Muweza wa yote.
Mpaji/Mletaji.
Muondoshaji /Mchukuaji.
Anapaswa Kuabudiwa kwa Haki.
Halali wala Hasinzii. na Anajibu kila anaemuomba. Na ndiyo kilichotokea.
Tahadhari na Ushauri tuendele kuchukua
Wa nee3ma bi llah.
Mwausheza, Chillo Cha Nalla Mwaha'aa.
ReplyDeleteSwadakta Mkuu. Nusura zote toka kwake.
M/Mungu mwingi wa Rehma na Muweza wa yote.
Mpaji/Mletaji.
Muondoshaji /Mchukuaji.
Anapaswa Kuabudiwa kwa Haki.
Halali wala Hasinzii. na Anajibu kila anaemuomba. Na ndiyo kilichotokea.
Tahadhari na Ushauri tuendele kuchukua
Wa nee3ma bi llah.
M/Mungu aendelee kukuhifadhi. Ameen
Mlungu akutaze'ee Mwaha'aa. Amin.
Wiki mbili tatu zilizopita Canada wamezitupa/ Rudisha Barakoa aina ya N95
ReplyDeletezaidi ya Milioni baada ya kuzitilia shaka na kuona hazikidhi viwango.
Maelekezo ya Jemedarini Sahihi.
Vya bure vinaumiza. We need to verify.