Rais Magufuli "Aliyetangaza Kuna Ugonjwa wa Zika Nilimfukuza Kazi"



“Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa unaitwa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi, bahati mbaya ni Mgogo, baada ya kumfukuza kazi siku chache akateuliwa na waliomtuma akatangaze kuna Zika akapewa Ukurugenzi”-JPM

“Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi, mpaka leo miaka karibu mitano hapajawahi kuwa na kesi ya Zika hapa Tanzania”-JPM

“Baada ya uzushi wa Zika kupita na nilipomfukuza kazi aliyesema kuna Zika,tukakaa baadaye tukaambiwa kuna Ebola, walijua wakisema tuna Ebola Watalii hawatokuja,tukasema sisi hatuna Ebola, wala Mjukuu au Hawara yake Ebola, na kweli hatujaona mgonjwa amekufa na Ebola Tanzania”-JPM

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwasinuka..!! Mwaha..!! Alee Wella wela
    Nene, ni mmanyile mchekullu alimyausii.

    Magu Baba, Nia yako na Imani yako siku
    zote M/Mungu atakuongoza na kukupa maono katika kulitumikia taifa letu.

    Sisi wanna Dodoma hatuto kukuanusha
    kwa wkai wote ni Wazalendo tusiokifani ukija kwetu Nondwa na kwa mjomba wagu Mwitikira Magu umetufanyia mengi. Vibaraka tuachie sisi tuta walekbisha wana msukumo wa kutafuta kiki

    ReplyDelete
  2. Silinde/Komu/ Lihualikali/Selazini/Lwakatare.

    Firimbi yenu y Fauloyumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.

    Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho

    NBC Account # 011103007155
    ECOBANK Account# 0020055401089601

    Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.

    Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad