Rayvanny Akitoka WCB Ndio Kifo Chake..Hata Wezi Kujisimamia Kama Harmonize...Wadau Wafunguka
0
June 23, 2020
Hayo ni Maneno ya Mashabiki Yanayo Zungumziwa Sana Katika Mitandao ya Kijamii, Ikisema Kwamba Leo Hii Rayvanny Akisema Atoke WCB Wasafi, Hatoweza Kujisimami Yeye Mwenyewe Katika Swala Zima la Muziki Kama Alivyo Weza HarmonizeTz.
Je? Swala Hili Lina Ukweli Wowote? Tuambie Hapa Tafadhali.
Tags