RC Makonda Atuma Salamu Kwa John Mnyika Kibamba "Hakuna Alichofanya"


"Mimi ndo kijana ukinisema sijali kabisa,huko Twitter nyie semeni, chambueni mpaka mchoke mimi nachojua ni kuwa kazi zinafanyika na maendeleo yanaonekana wazi wazi, nawapa salamu kule kwa Katibu wao CHADEMA, John Mnyika kesho naanza ziara wajipange maana najua hakuna alichofanya" Rc Paulo Makonda RC Paul Makonda

"Wakati naanza ziara vijana wa pale mtaa wa Ufipa wamenitafuta wanaomba niwasaidie kulipa pango la ofisi yao Makao Makuu pale, CHADEMA wanadaiwa kodi ya miezi sita kama naongopa waweke risiti hadharani tuone kama wamelipa kweli kuanzia January mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama Kinondoni ikitokea wamefukuzwa wape ofisi yako ile ya zamani wasije sema oooh tumefukuzwa" RC Paul Makonda
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swadakta Makonda. Si unaelewa mshikaji alikuwa anakomba posho ya Saccozi na kwenda kujibebisha Bebi mpaka Za °°°ge pia alikunywa
    Sasa NI mshikemshike Saccozi haijielewi wala kujitambua.

    Wanatafuta locki nasikia Zina kutu.. Wakipata grisi Jua Milan go itafungwa haraka iwezekanavyo.

    NCCR OYEEEEE.. MBATIA SAFIIII.

    ENDELEA NA ZIARA UTUJUZE MADUDU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad