Ricardo Momo Athibitisha Esma Platnumz Kuolewa Mitaala Kuwa Mke wa Tatu wa Mwanaume Husika
0Udaku SpecialJune 28, 2020
''Kwa Yeyote Anayebeza Mwanamke Kuolewa Mke Wa Pili Au Wa Tatu Kwa Muislam Anakiuka Sheria Ya Mwenyezi MUNGU, Hakuna Mwenye Akili Kumzidi MUNGU Kwanini MUNGU Kasema Tuoe Wanawake Wawili Au Watatu?, Mwanamke Yeyote Ana Haki Hakuna Mke Wa Watu Bali Ni Mke Wa Mtu Alafu Kuna Mume Wa Watu, Kwaiyo ESMA Ni Mke Wa Mtu Alafu Yeye ESMA Ameolewa Na Mume Wa Watu'' RICARDO MOMO
''Mwanamke Kuolewa Na Mwanaume Mwenye Wake Wawili Ni Jambo La Halali Kabisa Limepitishwa Labda Tungesema Ameolewa Na Mwanaume Mwenye Wake Sita Hiyo Tungeuliza Ameipata Wapi Iyo Sheria Lakini Mke Wa Tatu Ni Jambo La Halali Kabisa Tena Kafuata Misingi Ya Dini Na Dini Inataka Hivyo, Kuna Watu Mpaka Leo Hawajaolewa Wanaziniwa Tu Sasa Unamshangaa Mwanamke Mwenzio Kuolewa Mke Wa Tatu Wewe Unaeziniwa Olewa Kwanza Ata Na Mwanaume Mmoja Alafu Tuone Alafu Ndo Umseme Mwenzio'' RICARDO MOMO