Sakata la fumanizi Mwanaume Aliyefumaniwa Afunguka Makubwa "Yule Mwanamke Niliyefumani Nae Nilikuwa Nampenda Mpaka Nikasahau Nina Mke"

Sakata la fumanizi lililotokea mwezi uliopita mkoani Kilimanjaro

Vicent Mallya mwanaume ambaye alifumaniwa akiwa ndani na kimada wake Vera Kimaro afunguka.

"Ilifika mahali yule dada (Vera) kama vile..alikuwa kama vile ananichanganya akili kichwani nilikuwa nashindwa mpaka kuhudumia familia yangu" Kwa Jinsi nilivyokuwa nampenda na nikasahau Kama Nina mke.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Isiwe tabu. Uisilamu ulisha liona hili
    Unamuongeza kama ni mke halali wa Pili.

    Mpitie shekhemsikitini kwa ufafauzizaidi. Na Vera namshauri hiyohivyo inaonesha kuwa kuna mapenzi ya kweli. HALALISHENI MJENGE FAMILIA.

    Maisha ni lazima yaendelee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad