Sakata la Mwanamuziki Juliana Kanyomozi Kuzaa na Mtoto wa RAIS Museven...Mwenyewe Afunguka Haya


Baada ya taarifa za Juliana Kanyomozi kupata mtoto mwezi uliopita, maneno yalianza kuwa mengi hasa watu wakitaka kumfahamu Baba wa mtoto Taj.

Wengine waliibuka na kusema Juliana amezaa na mtoto wa kwanza wa Rais Museveni, David Rubakuba Muhoozi ambaye ni afisa wa Jeshi nchini Uganda.

Mwimbaji Juliana ameibuka na kukanusha taarifa hizo, akiweka screenshot ya taarifa hiyo kwenye ukurasa wake na kusema hakuna ukweli wowote “This is a hoax! Treat it with the contempt it deserves. Thank you,” aliandika Juliana.
1d

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad