Spika Ndugai “Msigwa Hastahili Kuitwa Mchungaji Maana ni Mchafu"
2
June 10, 2020
“Baadhi ya Wachungaji waliomo humu bungeni kama rafiki yangu Msigwa, akisimama humu bungeni anaropoka sana. Unamwangalia mtu kwa yale unayoyajua unatamani utoke na ukitoka sijui ataweka wapi sura yake maana ni mchafu kabisa astahili kuitwa mchungaji.
Sijui wamezaliwaje watu, hawezi kujiona alivyo na mapungufu tena mengine anajua najua” Job Ndugai-Spika wa Bunge.
Tags
Swadakta, Tena anatia kichefu chefu.
ReplyDeleteHuyu ni Mzigo wa Jalalani.
Tabia,Maadili, Hulka, Ustaarabu,
Uungwana, Hata Utumiaji Akili na Lugha, Vyo hivyo. anaonesha kuvikosa
Kwa kiwango kikubwa.
Inawezekana ametekwa nyara kifikra na kimawazo ambacho kinampelekea kukkosa Utu na kuto Jitambua. Inasikitisha. Tena Sana.
Wana Iringa wamesha liona hilo
KWA HERUFI KUBWA...
Anatafuta Ajira ktkhoteli za Kitalii
za Mnya Kigoda.
Mdau, Huyu ni Monkey see Monkey do!!
DeleteNi Ki-Karagosi au Kioja Mjengoni
Sema ndiyo inabidi Aage kwenda
one by one.. hata Mbatia Hato
chukua Uozo huu.
Hata kuwa mpiga Debe stendi ni Changamoto kwa huyu Dogo.