TAKUKURU imekanusha taarifa za kumshikilia na kumhoji aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuhojiwa na TAKUKURU akituhumiwa kugawa rushwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM ktk Jimbo la Arusha wanaohusika kupitisha jina la mgombea wa Ubunge