Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea Urais 2020



Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu leo amezungumza kwa Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook akiwa ughaibuni na kutangaza nia ya kugombea Urais nchini Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa October 2020. 


Lissu amechukua hatua hiyo siku kadhaa tangu John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema, kuwataka wanachama wenye nia ya kugombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, kuwasilisha taarifa zao katika ofisi yake, kuanzia tarehe 3 hadi 15 Juni 2020  

Lissu amesema, endapo atafanikiwa kuwa Rais, ataboresha uchumi wa nchi, mahusiano na jumuiya za kimataifa na nchi marafiki, utawala bora, misingi ya haki za binadamu, demokrasia na mfumo wa vyama vingi. 

Amesema uchaguzi wa mwaka huu, utaamua kama Chama cha Mapinduzi (CCM), kitapata fursa ya miaka mitano mingine ya kuendelea kuharibu uchumi wa nchi na kufukarisha wananchi, au mwanzo mpya kwa Tanzania, kujiimarisha kiuchumi.

Lissu amesema, akifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, atahakikisha mihimili ya nchi, ikiwemo Bunge na Mahakama, inakuwa huru na kujitegemea kwenye maamuzi yake.

Amesema katika uongozi wake kama atafanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, atavitumia vyombo vya ulinzi na usalama kulinda haki za binadamu, na si katika kukandamiza wapinzani wake, vyombo vya habari na asasi za kiraia. 

Amesisitiza kuwa  endapo atafanikiwa kuwa Rais, Serikali yake itaendeshwa kwa kufuata misingi ya utawala bora na sheria, inayoendana na Katiba ya nchi pamoja na mikataba ya kimataifa, ambayo Tanzania iliikubali.

Lissu amesema, akifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, ataponya majeraha ya wananchi pamoja na kurejesha umoja wa kitaifa, huku akisisitiza kwamba hatalipa kisasi kwa maadui zake.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dkt MaryRose Oyeee...!!
    Tundu Bovu halijakidhi Vigezo na Masharti husika.

    Uraisi wa mtandaoni waachie Baba Levo na Jitto, Hao ndio wazee wasnap up na fezibu ukijulisha na twita.

    Watanzania hatuobwi urahisi kwa mtandao. Kula yyako utaicast twita?

    unajifanya hayawani na sisi hamnazo.!!

    Jipange mtoro wewe kufunga saccozi
    muda si mrefu.

    Hivyo huoni hayaa? mkoosa haya!!

    Ume jitwe tweka mpaka nchini twita.!!

    Si itapendeza, ugombee huko huko nchini twita kumgoa Madalakani Laisi wake wa sasa? hivyo mko awamu gani hapo State of twita??

    Vigezo na Mashariti Flawwed.

    Twita Oyee!!
    T. Antipas Oyee!!

    Shauri yako M/Kigoda akisikia..!!
    Muulize laisi wa twita alifanywa nini?
    mpaka akkaishia ekti. Jitto msanue.

    Inashangaza, uelewa Duni.
    Kujitathmini hakupo..Mradi ulionekana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivyo mdau, Wageni pia wanaruhusiwa? Hembuliwekeni hili sawa.

      Delete
  2. T.A.L, Gud Moningi. Haw ari u?
    wer r u?
    u no!! Dkt MaryRose ..!! se is # 1
    Msigwa is #2. u late/absent marked.

    Tundu Bovu halijakidhi Vigezo na Masharti husika.

    Uraisi wa mtandaoni waachie Baba Levo na Jitto, Hao ndio wazee wasnap up na fezibu ukijulisha na twita.

    Watanzania hatuobwi urahisi kwa mtandao. Kula yyako utaicast twita?

    unajifanya hayawani na sisi hamnazo.!!

    Jipange mtoro wewe kufunga saccozi
    muda si mrefu.

    Hivyo huoni hayaa? mkoosa haya!!

    Ume jitwe tweka mpaka nchini twita.!!

    Si itapendeza, ugombee huko huko nchini twita kumgoa Madalakani Laisi wake wa sasa? hivyo mko awamu gani hapo State of twita??

    Vigezo na Mashariti Flawwed.

    Twita Oyee!!
    T. Antipas Oyee!!

    Shauri yako M/Kigoda akisikia..!!
    Muulize laisi wa twita alifanywa nini?
    mpaka akkaishia ekti. Jitto msanue.

    Inashangaza, uelewa Duni.
    Kujitathmini hakupo..Mradi ulionekana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Huyu anajishaua.
      ikiwa Ubunge alikuwa Mbunge Hewa
      Leo anataka kuwa Raisi wa Twitter. Mbona Imekuwa Vioja
      mtandaoni na Mtaani.

      Hawa wana twitter Uchwara waacheni huko huko Twitter wajipumbaze.

      Delete
  3. T.A.L, Gud Moningi. Haw ari u?
    wer r u?
    u no!! Dkt MaryRose ..!! se is # 1
    Msigwa is #2. u late/absent marked.

    Tundu Bovu halijakidhi Vigezo na Masharti husika.

    Uraisi wa mtandaoni waachie Baba Levo na Jitto, Hao ndio wazee wasnap up na fezibu ukijumlisha na twita.

    Watanzania hatuobwi urahisi kwa mtandao. Kula yyako utaicast twita?

    unajifanya hayawani, na sisi umetukuta hamnazo.!! ( Ngoma inagoga )

    Jipange, mtoro wewe kufunga saccozi
    muda si mrefu.(kuna tawi hapo ulipo?)

    Hivyo huoni haya? mkosa haya!!

    Ume jitweteka mpaka nchini twita.!!

    Si itapendeza, ugombee huko huko nchini twita kumgoa Madalakani Laisi wake wa sasa? (?tto) hivyo mko awamu gani hapo State of twita? Au Jamuhuri?

    Vigezo na Mashariti Flawwed.

    Twita Oyee!!
    TAL Oyee!!

    Shauri yako M/Kiti akisikia..!!
    Muulize laisi wa twita alifanywa nini?
    mpaka akkaishia ekti. Jitto msanue.

    Inashangaza, uelewa Duni.
    Kujitathmini hakupo..Mradi ulionekana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. inaonesha Dozii yake amechanganya Majira. Hii ni matokea ya mchanganyiko maalum.

      Fuata Ushauri w Tabibu. Kijitibu

      Delete
  4. Hivyo aliuliwa na Nani?
    mchakato ukoje?

    Endapo maana yake ni nini?

    Mzigwa mbona hajawa mtafutaji kiki wa
    staili hii? Au...? Dkt MaryRose?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad